Yer. 33:4 SUV

4 Maana BWANA, Mungu wa Israeli asema hivi, katika habari za nyumba za mji huu, na katika habari za nyumba za wafalme wa Yuda, zilizobomolewa ili kuyapinga maboma na upanga;

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:4 katika mazingira