18 Na watu hao waliolivunja agano langu, wasioyatimiza maneno ya agano lile, walilolifanya mbele zangu, wakati ule walipomkata ndama vipande viwili, wakapita katikati ya vipande vile;
Kusoma sura kamili Yer. 34
Mtazamo Yer. 34:18 katika mazingira