Yer. 34:3 SUV

3 tena wewe hutaokoka mkononi mwake, lakini utakamatwa kweli kweli, na kutiwa katika mikono yake; na macho yako yatayatazama macho ya mfalme wa Babeli, naye atasema nawe mdomo kwa mdomo, nawe utakwenda Babeli.

Kusoma sura kamili Yer. 34

Mtazamo Yer. 34:3 katika mazingira