Yer. 35:11 SUV

11 Lakini ikawa, Nebukadreza, mfalme wa Babeli, alipopanda akaingia nchi hii, ndipo tukasema, Haya! Twende Yerusalemu, tukiliogopa jeshi la Wakaldayo, na tukiliogopa jeshi la Washami; basi hivyo tunakaa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yer. 35

Mtazamo Yer. 35:11 katika mazingira