Yer. 35:13 SUV

13 BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Enenda ukawaambie wana wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu, Je! Hamtaki kupokea mafundisho, myasikilize maneno yangu? Asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 35

Mtazamo Yer. 35:13 katika mazingira