Yer. 35:18 SUV

18 Naye Yeremia akawaambia watu wa nyumba ya Warekabi, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa sababu mmeitii amri ya Yonadabu, baba yenu, na kuyashika maagizo yake yote, na kutenda sawasawa na yote aliyowaamuru;

Kusoma sura kamili Yer. 35

Mtazamo Yer. 35:18 katika mazingira