Yer. 35:7 SUV

7 wala msijenge nyumba, wala msipande mbegu, wala msipande mizabibu, wala msiwe nayo; bali siku zenu zote mtakaa katika hema; mpate kuishi siku nyingi katika nchi ambayo mtakaa ndani yake hali ya wageni.

Kusoma sura kamili Yer. 35

Mtazamo Yer. 35:7 katika mazingira