Yer. 36:21 SUV

21 Basi, mfalme akamtuma Yehudi aende akalilete lile gombo; naye akalitoa katika chumba cha Elishama, mwandishi. Yehudi akalisoma masikioni mwa mfalme, na masikioni mwa wakuu waliosimama mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:21 katika mazingira