Yer. 36:23 SUV

23 Hata ikawa, Yehudi alipokuwa amekwisha kusoma kurasa tatu nne, mfalme akalikata kwa kijembe, akalitupa katika moto wa makaa, hata gombo lote likawa limekwisha kuteketea katika huo moto wa makaa.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:23 katika mazingira