Yer. 36:26 SUV

26 Mfalme akamwamuru Yerameeli, mwana wa mfalme, na Seraya, mwana wa Azrieli, na Shelemia, mwana wa Abdeeli, wamkamate Baruku, mwandishi, na Yeremia, nabii; lakini BWANA aliwaficha.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:26 katika mazingira