Yer. 36:4 SUV

4 Kisha Yeremia akamwita Baruku, mwana wa Neria; naye Baruku akaandika katika gombo la chuo maneno yote ya BWANA, yaliyotoka kinywani mwa Yeremia, ambayo BWANA amemwambia.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:4 katika mazingira