Yer. 36:7 SUV

7 Labda wataomba dua zao mbele za BWANA, na kurudi, kila mtu akiiacha njia yake mbaya; kwa maana hasira na ghadhabu ni kuu sana, alizotamka BWANA juu ya watu hawa.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:7 katika mazingira