Yer. 37:1 SUV

1 Na Sedekia, mwana wa Yosia, akamiliki badala ya Konia, mwana wa Yehoyakimu, ambaye Nebukadreza amemmilikisha katika nchi ya Yuda.

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:1 katika mazingira