Yer. 37:18 SUV

18 Pamoja na haya Yeremia akamwambia mfalme Sedekia, Nimefanya kosa gani juu yako, au juu ya watumishi wako, au juu ya watu hawa, hata mkanitia gerezani?

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:18 katika mazingira