Yer. 37:20 SUV

20 Na sasa unisikilize, Ee bwana wangu mfalme; maombi yangu yakapate kibali mbele yako; usinirudishe nyumbani mwa Yonathani, mwandishi, nisije nikafa humo.

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:20 katika mazingira