Yer. 37:3 SUV

3 Sedekia, mfalme, akamtuma Yehukali, mwana wa Shelemia, na Sefania, mwana wa Maaseya, kuhani, kwa Yeremia, nabii, kusema, Utuombee sasa kwa BWANA, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:3 katika mazingira