Yer. 37:7 SUV

7 BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Mtamwambia hivi mfalme wa Yuda, aliyewatuma kwangu kuniuliza; Angalieni, jeshi la Farao, ambalo linakuja kuwasaidia, litarudi Misri, nchi yao wenyewe.

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:7 katika mazingira