Yer. 38:16 SUV

16 Basi Sedekia mfalme akamwapia Yeremia kwa siri, akisema, Kama BWANA aishivyo, yeye aliyetufanyia roho zetu, sitakuua, wala sitakutia katika mikono ya watu hao wanaokutafuta wakuue.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:16 katika mazingira