Yer. 38:19 SUV

19 Mfalme Sedekia akamwambia Yeremia, Nawaogopa Wayahudi waliowakimbilia Wakaldayo, wasije wakanitia katika mikono yao, nao wakanidhihaki.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:19 katika mazingira