Yer. 38:2 SUV

2 BWANA asema hivi, Akaaye ndani ya mji huu atakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni; bali yeye atokaye kwenda kwa Wakaldayo ataishi, naye atapewa maisha yake yawe kama nyara, naye ataishi.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:2 katika mazingira