Yer. 38:25 SUV

25 Lakini kama wakuu wakisikia ya kuwa nimenena nawe, nao wakija kwako, na kukuambia, Tufunulie sasa uliyomwambia mfalme; usimfiche, nasi hatutakuua; na pia uliyoambiwa na mfalme;

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:25 katika mazingira