Yer. 38:6 SUV

6 Basi wakamtwaa Yeremia, wakamtupa katika shimo la Malkiya, mwana wa mfalme, lililo katika uwanda wa walinzi; wakamshusha kwa kamba. Na mle shimoni hamkuwa na maji, ila matope tu; naye Yeremia akazama katika matope hayo.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:6 katika mazingira