Yer. 38:9 SUV

9 Ee bwana wangu, mfalme, watu hawa wametenda mabaya katika mambo yote waliyomtenda Yeremia, nabii, ambaye wamemtupa shimoni; naye hakosi atakufa pale alipo, kwa sababu ya njaa; kwa kuwa hapana mkate kabisa katika mji.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:9 katika mazingira