Yer. 39:16 SUV

16 Haya! Enenda ukaseme na Ebedmeleki, Mkushi, kusema, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Tazama, nitaupatiliza mji huu maneno yangu kwa mabaya, wala si kwa mema; nayo yatatimizwa mbele yako katika siku hiyo.

Kusoma sura kamili Yer. 39

Mtazamo Yer. 39:16 katika mazingira