Yer. 4:11 SUV

11 Wakati ule watu hawa na Yerusalemu wataambiwa neno hili, Upepo wa moto utokao katika vilele vya nyikani visivyo na miti, ukimwelekea binti ya watu wangu, hauwi upepo wa kupepeta, wala upepo wa kutakasa;

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:11 katika mazingira