Yer. 4:13 SUV

13 Tazama atapanda juu kama mawingu, na magari yake ya vita yatakuwa kama kisulisuli; farasi zake ni wepesi kuliko tai. Ole wetu, kwa sababu tumeharibika.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:13 katika mazingira