Yer. 4:2 SUV

2 nawe utaapa hivi, Kama BWANA aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watajibariki katika yeye, nao watajitukuza katika yeye.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:2 katika mazingira