Yer. 4:29 SUV

29 Mji mzima unakimbia, kwa sababu ya mshindo wa wapanda farasi na wenye pinde wanaingia vichakani, wanapanda juu ya majabali; kila mji umeachwa, hapana hata mtu mmoja akaaye ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:29 katika mazingira