Yer. 4:9 SUV

9 Na katika siku hiyo itakuwa, asema BWANA, moyo wa mfalme utapotea, na moyo wa wakuu wake; na makuhani watastaajabu, na manabii watashangaa.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:9 katika mazingira