Yer. 40:6 SUV

6 Basi, Yeremia akaenda kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu, huko Mizpa, akakaa pamoja naye kati ya watu wale waliosalia katika nchi.

Kusoma sura kamili Yer. 40

Mtazamo Yer. 40:6 katika mazingira