Yer. 41:11 SUV

11 Lakini Yohana, mwana wa Karea, na maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, waliposikia habari za hayo mabaya yote aliyoyatenda Ishmaeli, mwana wa Nethania,

Kusoma sura kamili Yer. 41

Mtazamo Yer. 41:11 katika mazingira