13 Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.
Kusoma sura kamili Yer. 41
Mtazamo Yer. 41:13 katika mazingira