Yer. 41:18 SUV

18 kwa sababu ya Wakaldayo; maana waliwaogopa, kwa sababu Ishmaeli, mwana wa Nethania, amemwua Gedalia, mwana wa Ahikamu, ambaye mfalme wa Babeli amemweka kuwa liwali juu ya nchi.

Kusoma sura kamili Yer. 41

Mtazamo Yer. 41:18 katika mazingira