Yer. 42:16 SUV

16 basi, itakuwa, upanga mnaouogopa utawapata huko, katika nchi ya Misri, nayo njaa mnayoiogopa itawafuatia mbio huko Misri, nanyi mtakufa huko.

Kusoma sura kamili Yer. 42

Mtazamo Yer. 42:16 katika mazingira