Yer. 42:2 SUV

2 wakamwambia Yeremia, nabii, Twakusihi, maombi yetu yakubaliwe mbele yako, ukatuombee kwa BWANA, Mungu wako, yaani, watu hawa wote waliosalia; maana tumesalia wachache tu katika watu wengi, kama macho yako yatuonavyo;

Kusoma sura kamili Yer. 42

Mtazamo Yer. 42:2 katika mazingira