Yer. 43:11 SUV

11 Naye atakuja, na kuipiga nchi ya Misri; watu walioandikiwa kufa watakufa, nao walioandikiwa kuwa mateka watakuwa mateka, nao walioandikiwa kupigwa kwa upanga watapigwa kwa upanga.

Kusoma sura kamili Yer. 43

Mtazamo Yer. 43:11 katika mazingira