Yer. 43:2 SUV

2 ndipo Azaria, mwana wa Hoshaya, na Yohana mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakanena, wakimwambia Yeremia, Unasema uongo; BWANA, Mungu wetu, hakukutuma useme, Msiende Misri kukaa huko;

Kusoma sura kamili Yer. 43

Mtazamo Yer. 43:2 katika mazingira