Yer. 43:9 SUV

9 Twaa mawe makubwa mikononi mwako, ukayafiche ndani ya chokaa ya kazi ya matofali, penye maingilio ya nyumba ya Farao huko Tahpanesi, machoni pa watu wa Yuda;

Kusoma sura kamili Yer. 43

Mtazamo Yer. 43:9 katika mazingira