Yer. 44:10 SUV

10 Hawajanyenyekea hata leo, wala hawakuogopa, wala hawakuenenda katika sheria yangu, wala katika amri zangu, nilizoweka mbele yenu, na mbele ya baba zenu.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:10 katika mazingira