Yer. 44:15 SUV

15 Ndipo watu wote waliojua ya kuwa wake zao waliwafukizia uvumba miungu mingine, na wanawake wote waliosimama karibu, mkutano mkubwa, yaani, watu wote waliokaa katika nchi ya Misri, katika Pathrosi, wakamjibu Yeremia, wakisema,

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:15 katika mazingira