Yer. 44:18 SUV

18 Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:18 katika mazingira