Yer. 44:21 SUV

21 Uvumba mliofukiza katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu, ninyi, na baba zenu, wafalme wenu, na wakuu wenu, na watu wa nchi, je! BWANA hakuwakumbuka watu hao? Je! Jambo hili halikuingia moyoni mwake?

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:21 katika mazingira