Yer. 44:23 SUV

23 Kwa sababu mmefukiza uvumba, na kwa sababu mmetenda dhambi juu ya BWANA, wala hamkuitii sauti ya BWANA, wala hamkwenda katika torati yake, wala katika amri zake, wala katika shuhuda yake; ndiyo maana mabaya haya yamewapata kama ilivyo leo.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:23 katika mazingira