Yer. 44:8 SUV

8 kwa kuwa mnanikasirisha kwa matendo ya mikono yenu, mkifukizia uvumba miungu mingine katika nchi ya Misri, mlikokwenda kukaa ugenini; mpate kukatiliwa mbali, na kuwa laana, na aibu, katika mataifa yote ya dunia?

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:8 katika mazingira