Yer. 46:14 SUV

14 Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tahpanesi; semeni, Simama, ujifanye tayari kwa maana upanga umekula pande zako zote.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:14 katika mazingira