Yer. 46:16 SUV

16 Aliwakwaza wengi, naam, wakaangukiana wao kwa wao; wakasema, Haya! Na tuondoke, tukarudi kwa watu wetu wenyewe, hata nchi tuliyozaliwa, tuukimbie upanga unaotuonea.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:16 katika mazingira