Yer. 46:21 SUV

21 Na watu wake waliojiwa, walio kati yake,Ni kama ndama waliowanda malishoni;Maana wao nao wamerudi nyuma,Wamekimbia wote pamoja, wasisimame;Maana siku ya msiba wao imewafikilia,Wakati wa kujiliwa kwao.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:21 katika mazingira