Yer. 46:26 SUV

26 nami nitawatia katika mikono ya hao wanaowatafuta roho zao, na katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya watumishi wake; na baada ya hayo itakaliwa na watu, kama katika siku za kale, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:26 katika mazingira