Yer. 47:2 SUV

2 BWANA asema hivi, Tazama, maji yanatokea katika pande za kaskazini, nayo yatakuwa mto ufurikao, nayo yataifunika nchi, na kila kitu kilichomo, huo mji na wote wakaao ndani yake; nao watu watalia na watu wote wakaao katika nchi watapiga yowe.

Kusoma sura kamili Yer. 47

Mtazamo Yer. 47:2 katika mazingira