Yer. 47:4 SUV

4 kwa sababu ya siku ijayo kuwaangamiza Wafilisti wote, kukatilia mbali kila msaidizi wa Tiro na Sidoni asaliaye; maana BWANA atawaharibu Wafilisti, mabaki ya kisiwa cha Kaftori.

Kusoma sura kamili Yer. 47

Mtazamo Yer. 47:4 katika mazingira